Africans Rising Inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2023
Africans Rising inajivunia kushiriki katika maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Wanawake Duniani na Mwezi wa Historia ya Wanawake. Harakati zetu zimejengwa juu ya urithi mrefu wa uongozi na michango ya kiakili, kimwili, kihisia na kiroho ya wanawake wanaoamini katika…